Sunday, July 16, 2017
Samatta alivyowasumbua mabeki wa Ajax jana, atupia moja
Mshambuliaji wa KRC Genk, Mtanzania, Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu jana Uwanja wa mazoezi wa The Ajax Future timu hizo zikitoka sare ya 3-3.
Mbwana Samatta akiwatoka wachezaji wa Ajax timu hizo zikitoka sare ya 3-3 jana
Mbwana Samatta alifunga bao moja jana katika sare hiyo
Labels:
MICHEZO
No comments:
Post a Comment